Watetezi wa haki za binadamu Uganda walalamikia kimya cha serikali kwa ukandamizaji wa vikosi vya usalama

Kiswahili Radio 51 views
Wanasheria wanaotetea haki za binadamu nchini Uganda wamejitokeza na kuilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kutovichukulia hatua vikosi vya usalama ambavyo vimekuwa vikifanya ukandamizaji na mauaji dhidi ya raia.

Add Comments