Dua maalumu yafanyika kuiombea amani Zanzibar baada ya kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa

Kiswahili Radio 36 views
Baada ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, kumefanyika dua maalumu ya kuviombea amani visiwa hivyo. Akizungumza katika hafla hiyo, Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi amesema wanasiasa wana dhima mbele ya Mwenye Mungu.

Add Comments