Rwanda yaanza kugawa chakula kwa wananchi waliothirika na karantini ya Corona

Kiswahili Radio 56 views
Wakati wakazi wa mji mkuu wa Rwanda Kigali wakiingia juma la pili la zuio la kutotoka nje katika hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, serikali ya nchi hiyo imeanza zoezi la mgawo wa vyakula kwa wananchi walioathiriwa kutokana na kupoteza vyanzo vyao vya mapato.

Add Comments