Mkoa wa Al-Hasakah kaskazini mashariki mwa Syria unakabiliwa na uhaba wa maji safi kutokana na vikwazo unavyowekewa na serikali ya Uturuki
Uturuki imezuia maji safi kuwafikia watu wa Syria wa mkoa wa al-Hasakah. Bunge la Syria limelaani hatua ya serikali ya Uturuki ya kukata maji ya al-Hasakah na imetaka kukomeshwa.