Wito wa vijana wa Uganda kwa serikali

Kiswahili Radio 64 views
Viongozi wa vikundi vya vijana nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuzingatia maslahi ya vijana wote badala ya kuwaita kila mara kwamba, wao ni viongozi wa kesho.

Add Comments