Kurushwa kwa wakati mmoja makombora 16 ya balistiki wakati wa maneva ya Mtume Mtukufu 17

Kiswahili Radio 50 views
Katika awamu ya mwisho ya mazoezi ya 17 ya kijeshi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH yaliyopewa jina la Mtume,Mtukufu kumefyatuliwa kwa wakati mmoja makombora 16 ya balestiki ya masafa tofauti na kupiga shabaha zilizoainishwa kabla kwa ustadi wa hali ya juu.

Hapa chini tumeweka kipande cha video kinachoonesha sehemu ndogo tu ya luteka hiyo...

Add Comments