Mamia ya Wapalestina wamejeruhiwa katika mapigano na wanajeshi wa utawala haramu wa Israel kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan

Kiswahili Radio 37 views
Takriban waandamanaji 250 wa Kipalestina wamejeruhiwa katika shambulizi jipya la Israel katika kijiji cha Burqa katika mkoa unaokaliwa kwa mabavu na Israel huko Nablus.

Add Comments