Filamu ya Mariam Muqaddas (Saint Marry).

Kiswahili Radio 61 views
Mariam Muqaddas ni filamu inayoelezea maisha ya Bibi Mariam mama yake Nabii Issa (as) na mitihani aliyokumbana nayo katika jamii baada ya kumzaa Nabii Issa Masih (as)

Filamu hii ni moja ya fulamu nzuri za kihistoria zilizotengenezwa nchini Iran. Zaidi ya waigizaji 90 wameshiriki katika filamu hii.

Add Comments