Mkasa wa ajali ya treni ya abiria Dodoma Tanzania

Kiswahili Radio 49 views
Treni iliyokuwa na abiria wapatao mia saba iliyokuwa safarini kutoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Kigoma nchini Tanzania imepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma, na kusababisha vifo vya watu watatu na makumi ya wengine kujeruhiwa.

Amari Dachi na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam

Add Comments