Dua ya siku ya tisa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

Kiswahili Radio 33 views
Ewe Mungu wangu! Nijalie nilipate fungu la rehema Zako pana.


Uniongoze kwenye buruhani Zako zing’arazo.
Na nishike mkono kuelekea kwenye radhi Zako kuu.
Kwa mahaba Yako ewe uliye matarajio ya wenye shauku.

Add Comments