Siku ya Jamhuri: Mahojiano ya Salum Bendera na Balozi Joshua I Gatimu wa Kenya mjini Tehran

Kiswahili Radio 29 views
Jumapili ya jana ya Disemba 12, 2021, Wakenya waliadhimisha siku ambayo taifa hilo lilipata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Muingereza.

Mzee Jomo Kenyatta ndiye aliyeongoza taifa la Kenya kupata uhuru wake. Siku hiyo inajulikana kwa jina la jamhuri Day yaani Siku ya Jamhuri. Kwa hapa mjini Tehran, ubalozi wa Kenya uliungana na Wakenya wengine kuadhimisha sherehe hizo. Salumu Bendera alipata fursa ya kuzungumza na Balozi Joshua I. Gatimu wa Kenya Tehran wakati sherehe hizo zikiendelea na hapa tumekuwekeeni mahojiano hayo.

Add Comments